ISLAMIC DAAWAH PRODUCTION

Tuesday, 26 August 2014

Kwa ujumla ukumbusho uliokuwa mzuri ni ule umfanyao mja kuwa karibu na Muumba wake  je! vipi kuhusiana na safari ya mwisho umeiandaaje  tafakari  umauti hauna siku .saa, dakika wala sekunde.


0 comments:

Post a Comment